Menu
 

 Mtoto anayefahamika kwa jina la Said Omary (13) mkazi wa Uyole jijini Mbeya, amejuruhiwa vibaya baada ya kupigwa na jirani yake kwa kile kilichodaiwa, kutoa malalamiko ya kupimiwa mafuta ya kula kidogo dukani, hali iliyopelekea mmiliki wa duka hilo kumfungia ndani na kuanza kumpiga kwa kutumia vitu vyenye ncha kali na kisha kuvuta sehemu za siri mpaka alipookolewa na majirani.
 Sehemu ya kichwani aliyojeruhiwa na mmiliki wa duka, baada ya mtoto Said Omary kupigwa na jirani yake kwa kile kilichodaiwa, kutoa malalamiko ya kupimiwa mafuta ya kula kidogo dukani, hali iliyopelekea mmiliki wa duka hilo kumfungia ndani na kuanza kumpiga kwa kutumia vitu vyenye ncha kali na kisha kuvuta sehemu za siri mpaka alipookolewa na majirani.
Sehemu ya mgononi aliyojeruhiwa mtoto saidi baada ya kupigwa na jirani yake kwa kile kilichodaiwa, kutoa malalamiko ya kupimiwa mafuta ya kula kidogo dukani, hali iliyopelekea mmiliki wa duka hilo kumfungia ndani na kuanza kumpiga kwa kutumia vitu vyenye ncha kali na kisha kuvuta sehemu za siri mpaka alipookolewa na majirani. 
Download na Bofya hapa kumsikiliza mtoto Said Omary

Tukio jingine:- Mtoto aliyefahamika kwa jina la Sarafina Gai (9), mwanafunzi wa Shule ya Msingi Igalako wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, amechomwa makalio na bibi yake kwa kutumia silaha ya jadi ya panga lililokuwa limechomwekwa motoni, kwa kile alichodai bibi huyo mtoto huyo asiende kulala kwa shangazi yake. (Kutokana na maadili picha hatutoziweka) 

Post a Comment

 
Top