Menu
 
MAHABUSU MWINGINE ALIYETOROKA BAADA YA KUCHIMBA UKUTA AKAMATWA.
MAHABUSU MWINGINE ALIYETOROKA BAADA YA KUCHIMBA UKUTA AKAMATWA.

  Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Vasco Lwenje (28) mkazi wa Songwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoani Mbeya mmoja wa wahabusu wanne...

Read more »

AIBA KUKU NA KUAMRISHWA KULA KINYESI CHA BINADAMU NA KUACHIWA HURU.
AIBA KUKU NA KUAMRISHWA KULA KINYESI CHA BINADAMU NA KUACHIWA HURU.

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya Mkazi mmoja wa Mbalizi, Wilaya ya Mbeya Vijijini Bwana Musa Mwambapa (25), amelazimishwa kula kinyesi ...

Read more »

SOLAR POWER ILIYOZINDULIWA NA RAIS KIKWETE YAIBIWA.
SOLAR POWER ILIYOZINDULIWA NA RAIS KIKWETE YAIBIWA.

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi. Afisa mtendaji wa Kijiji cha Halungu, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya aliyefahamika kwa jina moja la Mk...

Read more »

WANANCHI WAIKATAA TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA KIJIJI CHAO - MBOZI.
WANANCHI WAIKATAA TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA KIJIJI CHAO - MBOZI.

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi. Wananchi wa Kijiji cha Hampangala, Wilayani ya Mbozi, Mkoani Mbeya wameikataa taarifa ya mapato na ma...

Read more »

WALIMU WAANDAMANA WAKIDAI MALIMBIKIZO YA MISHAHARA NA POSHO JIJINI MBEYA
WALIMU WAANDAMANA WAKIDAI MALIMBIKIZO YA MISHAHARA NA POSHO JIJINI MBEYA

Habari na mwandishi wetu. Waalimu wa ajira mpya wa shule za msingi na Sekondari jijini Mbeya hivi karibuni wameandamana hadi Ofisi ya M...

Read more »

WAHAMIAJI HARAMU WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.
WAHAMIAJI HARAMU WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi. Raia 7 wa nchi ya Somalia na mmoja wa nchi ya Kenya wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, ...

Read more »

WALIMU WAANDAMANA WAKIDAI MALIMBIKIZO YA MISHAHARA NA POSHO JIJINI MBEYA
WALIMU WAANDAMANA WAKIDAI MALIMBIKIZO YA MISHAHARA NA POSHO JIJINI MBEYA

Habari na mwandishi wetu. Waalimu wa ajira mpya wa shule za msingi na Sekondari jijini Mbeya hivi karibuni wameandamana hadi Ofisi ya M...

Read more »

UJENZI WA SOKO LA KISASA MKOANI MBEYA WASUA SUA.
UJENZI WA SOKO LA KISASA MKOANI MBEYA WASUA SUA.

Habari na Bomba FM, Mbeya. Umoja wa wafanyabiashara katika soko la mwanjelwa jijini mbeya wamelalamikia kutokamilika kwa soko hilo. ...

Read more »

WALIMU 50 WALALA CHUMBA KIMOJA WAKIDAI MAFAO YAO WILAYANI MBOZI – MBEYA.
WALIMU 50 WALALA CHUMBA KIMOJA WAKIDAI MAFAO YAO WILAYANI MBOZI – MBEYA.

 Mmoja wa walimu waliokuwa na watoto wao na hivyo kulazimika kulala wima huku wakiwa wamewapakata, wakati wa madai ya mafao yao ya ...

Read more »

MH ZITTO - SERA MBOVU ZA CCM ZIMECHANGIA KUONGEZEKA KWA UMASIKINI KWA WANANCHI VIJIJINI .
MH ZITTO - SERA MBOVU ZA CCM ZIMECHANGIA KUONGEZEKA KWA UMASIKINI KWA WANANCHI VIJIJINI .

Habari na Angelica Sullusi, Mbeya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zuberi Zitto Kabwe amesema sera mb...

Read more »

YALIYOJILI KATIKA SIKU YA MAADHIMISHO YA KIFUA KIKUU  DUNIANI - MBEYA
YALIYOJILI KATIKA SIKU YA MAADHIMISHO YA KIFUA KIKUU DUNIANI - MBEYA

  Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Bwana Evans Balama, akihutubia katika mkutano wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu duniani yaliyofa...

Read more »

KANUNI ZA CHAMA CHA WANAUME WANAOPIGWA NDANI YA NDOA TANZANIA (CCWWT)
KANUNI ZA CHAMA CHA WANAUME WANAOPIGWA NDANI YA NDOA TANZANIA (CCWWT)

Kanuni ya Kwanza…. Huruhusiwi kumuoa Mwanamke mpaka akuletee CV yake ili ukague kama shuleni alishiriki Michezo ya kurusha Tufe...

Read more »

AUAWA KWA WIZI WA PIKIPIKI - MBEYA VIJIJINI
AUAWA KWA WIZI WA PIKIPIKI - MBEYA VIJIJINI

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya Vijijini. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ford Mwakambonja (41) mkulima na mkazi wa Nyalwela, Wil...

Read more »

WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUYARUSU MAKAMPUNI YA UNUNUZI WA ZAO LA PARETO ILI KULETA USHINDANI WA BEI - MAKETE
WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUYARUSU MAKAMPUNI YA UNUNUZI WA ZAO LA PARETO ILI KULETA USHINDANI WA BEI - MAKETE

Habari na Angelica Sullusi, Njombe. Wakulima Wilayani Makete Mkoani Njombe wameiomba Serikali wilayani humo kuyaruhusu makampuni mbali...

Read more »

ASHITAKIWA KWA WIZI - MBOZI
ASHITAKIWA KWA WIZI - MBOZI

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi. Mwananchi mmoja Enn Sichone (22) mkazi wa Old Vwawa, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya, amefikishwa mbel...

Read more »

MTUHUMIWA ALIYETOROKA MAHABUSU AKAMATWA
MTUHUMIWA ALIYETOROKA MAHABUSU AKAMATWA

Kituo cha Polisi Kati kilichopo Jijini Mbeya. ******* Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya Maneno Wiwa Kalinga mmoja wa mahabusu waliotoro...

Read more »

WIMBI LA UBAKAJI LABEBA SURA MPYA, ABAKA MTOTO WA MIAKA MIWILI – MBEYA.
WIMBI LA UBAKAJI LABEBA SURA MPYA, ABAKA MTOTO WA MIAKA MIWILI – MBEYA.

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Wimbi la ubakaji kwa watoto mkoani Mbeya limechukua sura mpya baada ya mkazi mmoja wa Kijiji cha Ikukwa,...

Read more »

KITUKO:- ALISHWA KINYESI MBELE YA MKEWE.
KITUKO:- ALISHWA KINYESI MBELE YA MKEWE.

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Watu wawili wakazi wa Kijiji cha Isansu, Kata ya Vwawa, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya wanakabiliwa na sh...

Read more »

MAJERUHI WA TUKIO LA MAPIGANO YA CHILULUMO, WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA.
MAJERUHI WA TUKIO LA MAPIGANO YA CHILULUMO, WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA.

  Mmoja wa wananchi waliojeruhiwa kwa kipigo kufuatia mapigano yaliyozuka katika Kijiji cha Chilulumo Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya Bwana Dau...

Read more »

MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA, MAHABUSU WACHIMBA UKUTA KITUO CHA POLISI  KATI MBEYA KISHA KUTOROKA.
MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA, MAHABUSU WACHIMBA UKUTA KITUO CHA POLISI KATI MBEYA KISHA KUTOROKA.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi, akiwa ameketi ofisini kwake.  ********** Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi. Watu w...

Read more »

WASHINDWA KUENDELEA NA MASOMO KUTOKANA NA UKOSEFU WA VYUMBA VYA MADARASA - MBEYA.
WASHINDWA KUENDELEA NA MASOMO KUTOKANA NA UKOSEFU WA VYUMBA VYA MADARASA - MBEYA.

Habari na Angelica Sullusi, Mbeya. Hatimaye wanafunzi waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu na kuchelewa kuanza masomo yao kwa ...

Read more »

RC MBEYA AOMBWA  KUINGILIA KATI MGOGORO ULIOPO KATI WANANCHI NA SHULE YA SEKONDARI NDEMBELA - MBEYA
RC MBEYA AOMBWA KUINGILIA KATI MGOGORO ULIOPO KATI WANANCHI NA SHULE YA SEKONDARI NDEMBELA - MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (Kushoto) akikabidhiwa Mwenge wa uhuru na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stellah Manya...

Read more »
 
Top