Menu
 

 Baadhi ya bidhaa zikiteketea baada ya kuzuka moto katika soko la Black liliopo mji mdogo wa Tunduma Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Mbeya.
 Baadhi ya wananchi wakigombea mabaki ya bidhaa katika maduka yaliyoteketea kwa moto jana katika mji wa Tunduma.
 Baadhi ya wananachi wakishuhudia na kuondoa mabakiya bidhaa zilizoteketea kwa moto ndani ya vibanda 9 vya biashara katika  Soko la Black lililopo mji mdogo wa Tunduma.
 Baadhi ya wananachi wakishuhudia na kuondoa mabaki ya bidhaa zilizoteketea kwa moto ndani ya vibanda 9 vya biashara katika  Soko la Black lililopo mji mdogo wa Tunduma
 Pichani Fundi akifumua paa la mojawapo ya maduka yaliyoungua baada ya moto kuteketeza soko la Black mjini Tunduma (picha na Ezekiel Kamanga)
 Moto ukiendelea kuwaka kabla haujadhibitiwa na kikosi cha zimamoto kutoka nchi ya Zambia.
 Wananchi wa Tunduma wakishuhudia moto ukiteketeza baadhi ya vibanda na maduka.
Wananchi wakiwa hawaamini kinachoendelea baada ya moto kuzuka katika soko la Black lililopo Tunduma mkoa wa Mbeya usiku wa manane (Picha na Ezekiel Kamanga, Mbeya)

Post a Comment

 
Top