Menu
 

 Rais wa Chama cha Walimu Tanzania ( CWT), Gratian Mukoba akikata utepe kuanzishia kukabidhiwa Jengo la Ofisi ya Kisasa ya CWT Mkoa wa Morogoro jana eneo la Nunge, Manispaa ya Morogoro, (kushoto) ni Mkurugenzi wa Ujenzi wa SUMA JKT, Mhandisi Luteni Kanali, Mkochi Kichogo ,na ( kulia) ni Kaimu Mwenyekiti wa Mkoa wa CWT, Bakari Hamis
 Rais wa Chama cha Walimu Tanzania ( CWT), Gratian Mukoba ( kulia) akisaini moja ya hati ya makabidhiano ya kumalizika kwa Jengo la Ofisi ya Kisasa ya CWT Mkoa wa Morogoro jana eneo la Nunge, Manispaa ya Morogoro, anayesaini ( kushoto) ni Mkurugenzi wa Ujenzi wa SUMA JKT, Mhandisi Luteni Kanali, Mkochi Kichogo na kati kati  ni Katibu Mkuu wa CWT, Yahya Msulwa
 Rais wa CWT , Gratian Mukoba ( watano kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Vyama mbalimbali vya wafanyakazi na wenyeji wa CWT Mkoa wa Morogoro baada ya kukabidhiwa jengo jipya la Ofisi za CWT Mkoa wa Morogoro lenye ghorofa mbili.
Jengo la Ofisi ya CWT Mkoa wa Morogoro.

Post a Comment

 
Top