Menu
 

Ni siku ya wanawake lakini mpaka karne hii mwanamke wa kitanzania Amekuwa akifanyiwa ukatili wa hali ya juu!! Hayo ni baadhi ya mengi yanayomkuta mwanamke wa Leo kila kona Tanzania.

Hivi kwa nini mpaka karne hii mwanamke anabakwa, anakatwa sehemu za siri! Au kuitwa majina kama malaya na mengineyo? Na mwanaume yeye akirudi nyumbani anataka kunawishwa mikono na kutengewa chakula mezani?

Ni lini mwanaume na yeye atamtengea mwanamke chakula, na kumnawisha mikono mezani?? 

Najua zama za utumwa zimekwisha lakini kwa hii jamii ya, wanawake haya mambo ya utumwa bado hayajakwisha!! Hivi karne hii Bado hatujaacha kupiga na kuwaua wanake tu!!!??

*Bonyeza hapa kujiunga na Morogoro Family Facebook. Tutumie habari, picha na matukio yanyo husu Moro kupitia morogoromjiwetu@gmail.com

Post a Comment

 
Top