Menu
 

Mpendwa Mteja,
 
Benki ya CRDB inapenda kukuarifu ya kwamba, wateja wetu wote wanahitajika kuboresha taarifa  zao muhimu kama agizo lililotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ambalo linataka zoezi hili kukamilika kabla ya tarehe 13 Machi,2012.
 
Kutokana na agizo hili, Benki ya CRDB imeona ni vyema  kuwatumia fomu za kuboresha taarifa muhimu kama kiambatanisho kwenye barua pepe hii  wateja wake wote ambao kutokana na sababu mbali mbali wameshindwa kufika kwenye matawi yetu kujaza fomu hizo.
 
Kumbuka kuambatanisha kurasa mbili za mbele na mbili za nyuma za hati yako ya kusafiria, utakapokamilisha kujaza fomu yako kwa usahihi zitume kama kiambatanisho kupitia anuani ya barua pepe hii.
 
Tunakushukuru kwa kuchagua benki ya CRDB.
 
Wasalaam,
 
Oscar Zangira
 
Huduma kwa Wateja
CRDB Bank PLC
Tel   +255 222 197700
Mob +255 714 197700
        +255 789 197700
        +255 755 197700
 
Fax  +255 22 2197799
 
 
Join us on facebook, www.facebook.com/crdbbank

Post a Comment

 
Top