Menu
 

Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini Mbeya Dakta Omary Salehe, akiwa na baadhi ya waandishi wa habari wakitembelea wadi mbalimbali, huku madaktari wa hospitali hiyo wakiendelea kufanya kazi.
 Mmoja wa wagongwa akipelekwa chumba cha upasuaji.
 Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini Mbeya Dakta Omary Salehe, akiwa na matangazo yaliyokuwa yamebandikwa kwa lengo la kushinikiza mgomo wa Madaktari na hivyo aliamuru yaondolewe, mbele ya waandishi wa habari.
Mmoja wa wagonjwa katika wadi ya watoto katika Hospitali ya Rufaa jijini Mbeya.(Picha na Ezekiel Kamanga, Mbeya).

Post a Comment

 
Top