Menu
 


"Kijana mwenzetu kashakuwa mtu mzima sasa, anataka afunge ndoa aanze familia, lakini kachanganyikiwa na mawazo baada ya Wazazi kumtaka akatafutie mchumba Shamba/Kijijini na, Marafiki wanamwambia kuwa Mwanamke wa shamba akifika mjini hakamatiki...Mpeni wazo, afanyeje?...,,,"

Nashon Sekadende wazaz wamuache ajichagulie mke mwenyewe kutoka popote, mapenz hayalazimishwi vinginevyo wanamweka ktk wakat mgum....ni nashon sekadende .toka tbr chuo cha utumishi wa umma.

Fatma Fundikira Ushauri wangu asiangalie mjini wala ukijijini bali atafute mwanamke atakae mpenda kwa dhati popote pale mjini au kijijini.kwamaana sikuhizi wote micharuko tuu ata kijijini kunamicharuko vilevile

Edward Simpert MacGama Achukue uamuzi binafsi kwa manufaa yake.

Anikija Masambaji Tena wala asiende huko shamba atafute mke wake hukuhuku town msomi na atakayekuwa anacontribute ugali nyumbani sio goal keeper!! akisubiri kuletewa!! akifa ghafla?!! TUAMKE

Mohamedy Kisuda Lesso mke ajichagule mwenyewe,mambo ya kizamani yalishagapita!.

Paschal George Daah me naon hpo yey mwnyw aanglie kat ya shmba n wamjin yup mwnye upendo w kwel kwke, na yup atamsaidia kw kiac kkubwa ktk maish yke.

Michael Gomela Atumie FB

Stella John Haaa fesibuku !!!!

Mohamedy Kisuda Lesso fb ? ishu hapa ni aende kijijini kama wanavyotaka wazee ama anakoishi!

Stella John Akiwa mjini atoke sop sop aende kwenye ATM alafu aingie Kwenye starehe atampata wa mjini,

Akifika bushy kutafuta mchumba akamate jembe aingie shamba humo atakutana na wa shamba alafu ndo achague yupi atamfaa...

Paschal George Not a bad idea @stlla

Mashayo Rehema Mercy Mke mwema mtu hupewa na Mungu, mwacheni ausikilizie moyo wake... Nadhani kuna wimbo wa zamani hivi, ulikuwa ukiimbwa, na mhusika Kijana, mwanamume akaja mtelekeza mjini, alitaka asikate kamba???

Benny Wissa Wa zazi ndo kila ki2 lazima niwasikilize..kuhusu kubadilika hayo ni matokeo ya mbele ndoa ni mtihani... Frm ipinda kyela Benny wissa ,a.k.a.CHECHINIA

Emmanuel James Nyambo Hapo ni chaguo lake swala la kuchaguliwa mchumba noum sana mwisho wa siku kujutia me namshauri bora wa mjni washamba atamsumbua g9teall

Emmanuel James Nyambo Nipouw xana hi kwa presenters wote wa Bomba fm 2ko permojah katika bomba special

Post a Comment

 
Top