Menu
 

 Pichani ni gari ndogo aina ya Nissan mali ya Mganga wa tiba ya asilia maarufu kwa jina Dk Nsyuka iliyogongana uso kwa uso na roli aina ya Fuso ajali iliyotokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 6 usiku na kusababisha watu wawili waliokuwa kwenye gari dogo aina ya Nissan kujeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa jijini Mbeya.
 Mashuhuda wa ajali hiyo wakilitazama gari gari ndogo aina ya Nissan mali ya Mganga wa tiba ya asilia maarufu kwa jina Dk Nsyuka iliyogongana uso kwa uso na roli aina ya Fuso ajali iliyotokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 6 usiku na kusababisha watu wawili waliokuwa kwenye gari dogo aina ya Nissan kujeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa jijini Mbeya.
Mwili wa dereva wa gari aina ya Pick Up marehemu Isaya Simon (34) ukiwa umeng'ang'ania katika gari hiyo aina ya Toyota Hilax yenye nambari za usajili T 200 ABU mara baada ya kugongana uso kwa uso na gari aina ya Hiace katika eneo la Iwambi jijini Mbeya  juzi. (Picha na Ezekiel Kamanga, Mbeya)

Post a Comment

 
Top