Menu
 


Morogoro Fam
Baadhi ya wana Family wameshauri ya kuwa itakuwa ni jambo la busara kama Mkoa wetu wa Morogoro utamuenzi mwanamuziki wa kwanza  kabisa kutoka Morogoro, marehemu bwana Baraka Mwishehe, kwa kuweka sanamu yake hapo kwenye kerpleft cha hapa katikati ya mji. Je mwalionaje hilo? Tunaomba mawazo yako tupatapo maombi ya kutosha basi tutajaribu kutuma ombi hilo kwa Mheshmiwa Meya wa mji. Asanteni.
· · · September 1, 2011 at 7:48pm

Post a Comment

 
Top