Menu
 
CHUTCU WAFANYA MKUTANO WA 12
CHUTCU WAFANYA MKUTANO WA 12

 Katibu tawala mkoa wa Mbeya akisoma hotuba ya mkuu wa mkoa huo Abbas Kandoro alipomwakilisha kufungua kutano wa 12 wa chama kikuu cha...

Read more »

CHEKA ASHINDA KATIKA SHINDANO LA NGUMI DHIDI YA MAUGO .
CHEKA ASHINDA KATIKA SHINDANO LA NGUMI DHIDI YA MAUGO .

 Bondia Francis Cheka (kulia) akimsukumia konde mpinzani wake Mada Maugo, wakati wa pambano lao lililokuwa la Raundi 12 lililofanyika k...

Read more »

TUME YA MGOGORO WA ARDHI BAINA YA MWEKEZAJI WA KAPUNGA NA KIJIJI CHA MAPOGORO YAANZA KAZI.
TUME YA MGOGORO WA ARDHI BAINA YA MWEKEZAJI WA KAPUNGA NA KIJIJI CHA MAPOGORO YAANZA KAZI.

Mfugaji Bwana Mungo Makubi (27) kushoto na Singu Mwakami (23) wakimtazama ng'ombe aliyeuawa kwa kugongwa na gari aina ya Toyota L...

Read more »

WANANCHI WAMUOMBA MKUU WA MKOA KUTATUA MGOGORO WA KUTENGULIWA MWENYEKITI WA KIJIJI - MBEYA
WANANCHI WAMUOMBA MKUU WA MKOA KUTATUA MGOGORO WA KUTENGULIWA MWENYEKITI WA KIJIJI - MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abass Kandoro akihimiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari ofini kwake. ******* Habari na Ezeki...

Read more »

CCM YAZIDI KUMEGUKA MKOANI MBEYA
CCM YAZIDI KUMEGUKA MKOANI MBEYA

Mbunge wa Jimbo la Mbozi Magharibi Mheshimiwa David Silinde ambaye naye akiwaasa wananchi kuwa watulivu ili kumsikiliza Makamu wa ...

Read more »

NEW TRACK: - SILVIA - NINAHOFU DOWNLOAD THIS SONG FOR PROMO
NEW TRACK: - SILVIA - NINAHOFU DOWNLOAD THIS SONG FOR PROMO

SILVIA - NINAHOFU Artist:- Silvia Song:- Ninahofu Producer - Benardo

Read more »

WIMBI LA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI KWA WANANCHI LASHIKA KASI MKOANI MBEYA
WIMBI LA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI KWA WANANCHI LASHIKA KASI MKOANI MBEYA

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Wimbi la kujichukulia sheria mkononi kwa wananchi pindi akamatwapo mhalifu limezidi kushika kasi mkoani...

Read more »

MWENYEKITI WA MTAA AJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA
MWENYEKITI WA MTAA AJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA

  Picha ya kwanza Mwenyekiti wa mtaa wa Ilolo Kati Ngambi Ngambi (Kushoto), akifuatiwa na Samson Kibole (katikati) wakiwa na Mwenyeki...

Read more »

HAKIMU AVUNJIWA NYUMBA NA KUIBIWA - MKOANI MBEYA
HAKIMU AVUNJIWA NYUMBA NA KUIBIWA - MKOANI MBEYA

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Mtu au watu wasiofahamika wamevunja na kuiba vitu kadhaa nyumbani kwa Hakimu wa Mahakama ya mwanzo Mb...

Read more »

AUAWA BAADA YA KUPIGWA NA MCHI WA KUTWANGIA.
AUAWA BAADA YA KUPIGWA NA MCHI WA KUTWANGIA.

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawatafuta watu watatu kwa kusababisha kifo cha mtu mmoja aliyefahamik...

Read more »

FAIDA YA MATUMIZI YA JUISI YA MATUNDA KATIKA MWILI WA BINADAMU
FAIDA YA MATUMIZI YA JUISI YA MATUNDA KATIKA MWILI WA BINADAMU

Juisi ni kinywaji bora, lakini ni vyeme ukajua juisi ipi ina faida mwilini na ipi haina faida yoyote. Katika zama tulizonazo, kumezuka a...

Read more »

ZAIDI YA ABIRIA 40 WANUSURIKA KIFO MKOANI MBEYA, BAADA YA BASI LAO KUGONGWA NA KUPINDUKA.
ZAIDI YA ABIRIA 40 WANUSURIKA KIFO MKOANI MBEYA, BAADA YA BASI LAO KUGONGWA NA KUPINDUKA.

Mmoja wa majeruhi wa  kati ya 40 walionusurika kifo baada ya basi waliokuwa wakisafiri aina ya Coaster, lenye nambari za usajili T 374 AV...

Read more »

MHESHIMIWA LOWASSA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA.
MHESHIMIWA LOWASSA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA.

Waziri Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Monduri Edward Ngoyai Lowassa, akizungumza na Waandishi wa habari...

Read more »

TIMU YA WATANZANIA DMV IMEKAMILISHA LENGO LAKE LA KUINGIA LIGI YA DIASPORA WOLD CUP 2012
TIMU YA WATANZANIA DMV IMEKAMILISHA LENGO LAKE LA KUINGIA LIGI YA DIASPORA WOLD CUP 2012

Na Abou Shatry Timu ya Tanzania DMV imekamilisha madhumuni na malengo ya kuingia rasmi na ligi ya Diaspora World Cup 2012 itakayofan...

Read more »

NAPE AKUTANA NA UJUMBE WA WANAFUNZI KUTOKA MAREKANI
NAPE AKUTANA NA UJUMBE WA WANAFUNZI KUTOKA MAREKANI

Kwa hisani ya http://mrokim.blogspot.com Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akizungumz...

Read more »

NDAMA (NG’OMBE) WA AJABU  AZALIWA WILAYANI MBOZI. ANA MIGUU 6, MIDOMO 4 NA MACHO MATATU
NDAMA (NG’OMBE) WA AJABU AZALIWA WILAYANI MBOZI. ANA MIGUU 6, MIDOMO 4 NA MACHO MATATU

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya *Ana miguu sita, midomo minne na macho matatu Ndama wa ajabu amezaliwa katika Kijiji cha Bara, Kat...

Read more »
 
Top