Menu
 

 Bwana John Kajereba ambaye aling'olewa meno mawili baada ya mapigano yaliyofanyika katika Shule ya Msingi Ilundo, Kata ya Kiwila katika Uchaguzi mdogo wa kiti cha udiwani, ambapo kiti hicho kimechukuliwa na mgombea kutoka  CHADEMA ambaye alipata kura 2621, huku mgomea wa CCM akipata 1649,  NCCR kura 33, na CUF kura 13.
 Bwana Jacob Kalua, akiugulia maumivu baada ya kuchalangwa mapanga matatu kichwani na kukimbizwa katika Hospitali ya Makandana Tukuyu, kufuatia mapigano yaliyofanyika katika Shule ya Msingi Ilundo, Kata ya Kiwila katika Uchaguzi mdogo wa kiti cha udiwani, ambapo kiti hicho kimechukuliwa na mgombea kutoka  CHADEMA ambaye alipata kura 2621, huku mgomea wa CCM akipata 1649,  NCCR kura 33, na CUF kura 13.
Baadhi ya wakazi wa Kiwila walipokuwa wakisubiri matokeo ya uchaguzi
Matokeo Kamili ya Kiwira: Walipiga kura waliojiandikisha walikuwa 11866 Kura zilizopigwa zilikuwa 4341 kura zilizoharibika 24, CHADEMA kura 2621, CCM kura 1649, NCCR kura 33 na CUF kura 13 hivyo CHADEMA wameshinda Kiti cha Udiwani katika Kata ya Kiwila.(Picha na Ezekiel Kamanga, Kiwila)

Post a Comment

 
Top