Menu
 

Bibi huyu imedaiwa amekutwa akiwanga akiwa live live kama alivyoborniwa  katika kaburi la  marehemu Kanumba  hapo juzi kazi, vyanzo vilivyonipa stori hii kutoka dar wamedai bibi mwanga huyu alikutwa akiliwangia kaburi hilo bila kujua wadau wameshamuona na hivyo kumjazia watu na kumuuliza kulikoni ila bibi aliusugua na hakusema kitu.
Tutawaletea habari zaidi kutoka dar ndio nipo nazisubiria kutoka kwa wadau wangu huko bongoland..


News update: inasemekana bibi alitoweka baada ya kufurumushwa makaburini hapo, ila mida mida alikutwa tena mitaa ya Mwananyamala katika hali tata ambapo wadau wenye usongo na wanga walikua wamemzunguka na kumohoji huku wakijitayarisha kumchoma moto maana bibi alikua hajielezi ipasavyo, ila bibi alinusurika na moto huo na kupelekwa police ambapo inasemekana baada ya masaa machache bibi alidisapia unaambiwa...

Kwa habari zaidi tembelea http://tina-sweethome.blogspot.com/

Post a Comment

 
Top