Menu
 


Sindano ya ganzi yamsababishia mauti mtoto aliyefahamika kwa jina la Tumaini Rataniel Mtajiha (5), mkazi wa Kijiji cha Hagomba Kat ya Itaka baada ya kuchomwa na daktari katika zahanati binafsi ya Sisika, inayomilikiwa na mwalimu mmoja  katika Mtaa wa Ichenjezya, Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.

*****Kwa habari zaidiusikose kufuatilia tukio hili saa 7 zijazo****

Post a Comment

 
Top