Menu
 


Enzi hizo  full mapozi - Sharo B

Nikiwa zangu Nyumbani kipindi hicho nikiishi kwa wazazi na kula vizuri milo mara tatu kwa siku ,na pia nikisoma Chuo cha Uandishi wa Habari Jijini Dar es salaam, miaka mitano iliyopita, nilipiga 25/5/2007 siku ya birthday yangu..
Alivyo sasa - My favourite Radio  Dj and Blogger  

Hapa nikiwa kazini katika Kituo cha Kurushia matangazo cha Bomba FM Redio 104.0Mhz jijini Mbeya

Post a Comment

 
Top