Menu
 

Mgeni rasmi Bwana Nicholaus Mgaya, akihamasisha maelfu ya wananchi waliohudhuria katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
 

Makamu Mwenyekiti wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mchungaji Zacharia Sichone, kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
Watumishi wa Mungu Jennifer Mgendi na Martha Mwaipaja, ambao ni waimbaji wa Nyimbo za Injili wakiwa katika pozi kabla ya kupandishwa jukwaani katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew,  Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
Watumishi wa Mungu Jennifer Mgendi na Martha Mwaipaja, wakitoa burudani kwa maelfu ya Wananchi waliofika katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) na kuhudhuriwa na maelfu ya watu katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
Kwaya ya Nyimbo za Injili Kijitonyama Upendo Group kutoka Jijini Dar es salaam wakitoa burudani kwa maelfu ya Wananchi waliofika katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew,  Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
Kwaya ya Mtakatifu Yuda Thadei kutoka Kanisa katoliki Jimbo la Mbeya wakitoa burudani kwa maelfu ya Wananchi waliofika katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
Kwaya ya Sauti ya Neema kutoka Mkoani Mbeya wakitoa burudani kwa maelfu ya Wananchi waliofika katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
Kwaya ya Ebeneza kutoka Mkoani Mbeya wakitoa burudani kwa maelfu ya Wananchi waliofika katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
Kwaya ya Kristo Mfalme kutoka mkoani Mbeya wakitoa burudani kwa maelfu ya Wananchi waliofika katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
 Mkurugenzi wa Kituo cha kutushia matangazo Bomba FM Radio Bwana Fanuel Ndonde akizungumza machache, ikiwa ni pamoja na kutoa shukrani kwa maelfu ya Wananchi waliofika katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
Msema Chochote (MC) Bwana Clemence Mpepo, ambaye pia ni Mtangzaji wa Kituo cha kurushia matangazo Bomba FM Radio 104.0Mhz ya Mbeya akizungumza na watumishi wa Mungu Jennifer Mgendi na Martha Mwaipaja, ambao ni waimbaji wa Nyimbo za Injili wakiwa katika pozi kabla ya kupandishwa jukwaani katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
 Mtumishi wa Mungu Bwana Medrick Sanga waimbaji wa Nyimbo za Injili akiwa katika pozi kabla ya kupandishwa jukwaani katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew,  Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
 Wageni waalikwa waimbaji wa Nyimbo za Injili wakiwa katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
  Sehemu ya maelfu ya wananchi waliohudhuria katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
 Pichani DJ Imma Boy kutoka Kituo cha Kurushia Matangazo cha Bomba FM Radio 104.0Mhz ambaye alikuwa mshehereshaji katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew,  Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.
 Picha ya kwanza kutoka kushoto Happy Kabuka, Lizy Rommy, Ammy/Aplus na Aziza Kassimu, na picha ya pili mmiliki wa mtandao wa Chimbuko Letu Blogu Chris Bee, ambao wote ni wafanyakazi wa Kituo cha kurushia matangazo cha Bomba FM radio 104.0Mhz Mbeya, mara baada ya tamasha kumalizika.
Picha ya Kwanza kutoka kushoto Tunu Lugombe na Dj Imma Boy  na picha ya pili Jirani Mtembezi(kushoto) akiwa na shabiki yake mara baada ya Tamasha kumalizika.
 Sehemu ya maelfu ya wananchi waliohudhuria katika Tamasha la Nyimbo za Injili, sambamba na harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa Kituo cha kulelea Wazee, lililoandaliwa na Bomba FM radio 104.0Mhz Aprili 8 mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya SBC Tanzania LTD kupitia kinywaji cha Mountain Dew, Baraka FM, Sweet FM, Generation FM na Rock FM.

Post a Comment

 
Top