Menu
 

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akizungumza wakati wa kikao chake na Ujumbe wa wanafunzi kutoka Marekani waliotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. Nape alijadili nao masuala mbalimbali ya siasa. Kushoto ni Kiongozi wa msafara huo, Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akizungumza wakati wa kikao chake na Ujumbe wa wanafunzi kutoka Marekani waliotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. Nape alijadili nao masuala mbalimbali ya siasa. Wapili kushoto ni Kiongozi wa msafara huo, Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akionyesha kijitabu cha Kilimo Kwanza' wakati wa kikao chake na Ujumbe wa wanafunzi kutoka Marekani waliotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam, leo. Nape alijadili nao masuala mbalimbali ya siasa. Kushoto ni Kiongozi wa msafara huo, Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akimkabidhi vitabu vya Kilimo Kwanza' Mkuu wa msafara wa Ujumbe wa wanafunzi kutoka Marekani, Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani, baada ya mazungumzao na ujumbe huo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. Nape alijadili nao masuala mbalimbali ya siasa.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akimkabidhi 'opener' za CCM Mkuu wa msafara wa Ujumbe wa wanafunzi kutoka Marekani, Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani, baada ya mazungumzao na ujumbe huo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. Nape alijadili nao masuala mbalimbali ya siasa.
Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani, akimshukuru Nape, baada ya mazungumzao na ujumbe wa wanafunzi kutoka Marekani, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. Nape alijadili nao masuala mbalimbali ya siasa.
Nape na Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani, wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanafunzi kutoka Marekani  baada ya mazungumzao na ujumbe huo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. Nape alijadili nao masuala mbalimbali ya siasa.
Nape akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa Marekani waliofika Ofisi ya Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam.

Post a Comment

 
Top