Menu
 

Post a Comment

Anonymous said... 23 May 2012 at 05:47

dah! maisha ya watanzania wengi wa vijijini ndo hivyo! kuna wengine pia hawana hata hela za kuanzishia hiyo miradi! kadhalika mijini nako sasa hali si shwari,maisha yamekua magumu sana! mathalan Moro yetu kila kona watoto wanaouza ndizi,machungwa,miwa nk ni wengi sana, ukiwaangalia ni mida ya kuwa shuleni kwa muonekano wa umri wao! lakini je, kwnn yupo hapo? jibu rahisi tu "anatafuta hela za ada,sare,michango nk, HALI INATISHA! je unadhani watoto hawa watashindana na watoto wa viongozi wetu? !

 
Top