Menu
 

Majembe kutoka Bomba FM Radio 104.0Mhz iliyopo Mtaa wa Block T Jijini Mbeya Azza Kamendu (wa kwanza kushoto aliyesimama mwenye), akifuatiwa na Jirani Mtembezi (katikati) na Meneja wa Kituo Fredy Herbet a.k.a DJ Fredy (Kulia), Waliokaa ni Sheby Shaban (Mwenye fulana rangi nyekundu) na Greyson Salufu Chatanda a.k.a Chris Bee/Prezdar wa Madadito Tz (Mwenye aliyevalia jaketi), wakiwa katika Uwanja wa ndege Mpya wa Songwe Mkoani Mbeya walipotembelea kuangalia zoezi la ujenzi wa Uwanja huo wa Kimataifa.
  .........Kama kawaida lazima utafakari au ufikiri kabla ya kutenda.........
 Baada ya kutafakari mchakato wa kutembelea kila kona za Uwanja wa ndege Mpya wa Songwe Mkoani Mbeya walipotembelea kuangalia zoezi la ujenzi wa Uwanja huo wa Kimataifa ukaanza.
 Mpango huu hapa...... ni baadae sana hapa ni Kali za Bomba ni kipindi ambacho kinalenga moja kwa moja katika kukuza na kuendeleza Muziki wetu wa Kizazi kipya wa ndani na nje ya Tanzania, katika Jamii Chris Bee a.k.a Prezdar wa Madadito Tz/The Lost Boy in Town (kushoto) na Sheby Shaban a.k.a Sheby Laizer/The Hotest Boy in Town, wakiwa katika Uwanja wa ndege Mpya wa Songwe Mkoani Mbeya walipotembelea kuangalia zoezi la ujenzi wa Uwanja huo wa Kimataifa.
Hu hu hu hapa kali na Totoz lazima Pishi lijae kwa bakuli Bi Aman Mbillo a.k.a Ammy mkali wa kipindi cha Jipe Raha a.k.a Mwambao/Mipasho(Kushoto), akifuatiwa na Chris Bee, Sheby Shaban, Azza K na aliyekaa Jirani Mtembezi wakiwa katika picha ya pamoja katika Uwanja wa ndege Mpya wa Songwe Mkoani Mbeya walipotembelea kuangalia zoezi la ujenzi wa Uwanja huo wa Kimataifa.

Post a Comment

 
Top