Menu
 

Kwa wapenzi wa series za TV, Undercovers na Touch ni miongoni mwa series zinazovutia. Undercovers ni series inayowahusisha mtu na mume wake, Gugu Mbatha-Raw na  Boris Kodjoe wanaofanya kazi ya ushushushu!   
Namna walivyokuwa wakifanya kazi kwa aina yao na urembo wa Gugu ni kivutio kikubwa cha series hiyo.

Lakini unafahamu kuwa Gugulethu Sophia Mbatha ni mafrika kusini? 

Amezaliwa mwaka 1983, katika hospitali ya John Radcliffe, Oxford, Uingereza. Jina lake "Gugulethu" ni mchanganyiko wa maneno igugu lethu inayomaanisha "our pride" yaani fahari yetu. 


Mama yake Anne, ni muingereza anayefanya kazi kama nesi na Baba yake Patrick Mbatha, ni daktari kutoka Afrika Kusini. 


  
Kwa wanaume, urembo wa muigizaji huyu kwenye screen hakika unaweza kuwatoa udenda. Kwa hisani ya http://www.leotainment.blogspot.com

Post a Comment

 
Top