Menu
 

 Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda, akisakimiana na mmoja wa wakimbiza mwenge wa uhuru muda mfupi kabla ya wa kuuwasha, katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya jana.
******** 
Habari na Greyson Salufu.
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Mizengo Pinda ameitaka jamii kushiriki kikamilifu katika sensa itakayofanyika nchini agasti 26 mwaka huu ili kuliwezesha Taifa kuwa na mipando dhabiti ya kimaendeleo kwa watu wake.

Ametoa rai hiyo leo hii wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Sensa kitaifa ambayo imefanyika katika uwanja wa Sokoine Mbeya ambapo ametoa wito kwa kila Rais kuhakikisha anahesabiwa mara moja siku hiyo.  Sikiliza hapa......

Kauli mbiu ya Sensa kitaifa mwaka huu ni SENSA KWA MAENDELEO YA TAIFA, JIANDAE KUHESABIWA.

Post a Comment

 
Top