Menu
 


  Pichani ni Washindi kutoka Moshi mkoa wa Kilimanjaro wakiwa pamoja na majaji, kutoka kushoto ni Charlz Mushi, Jaji Joseph Haule, Mataluma toka THT, Jaji Queen Darleen, Gasper Fadhil, Atufigwege Mwailunga na Jaji Henry Mdimu, na mbele kabisa ni Jaji Juma Nature
*@_@*
BASI NI HII HAPA UNAHUSIKA!
JE UPO MBEYA NA UNA KIPAJI NA NDOTO ZA KUWA NYOTA WA MUZIKI TANZANIA?

KILI TANZANIA MUSIC AWARDS, INAKUPA NAFASI YA KUPERFORM LIVE! KWENYE JUKWAA MOJA NA VINARA WA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA.... NA KAMA HAITOSHI TUTAKUDONDOSHA KWENYE JIJI LA MARAHA.... DAR ES SALAAM NA KUKUREKODIA BURE, SINGLE YAKO KALI ILI HATIMAYE USIKIKE KATIKA ANGA ZA MUZIKI TANZANIA.

KAMA UPO MBEYA FIKA THE VIBES JUMAPILI, TAREHE 13 MEI 2012, SAA MBILI KAMILI ASUBUHI KUSHIRIKI KWENYE USAILI.

NAFASI NI YAKO! JITOKEZE SASA!.

KILIMANJARO PREMIUM LAGER, BONGE LA KIBURUDISHO KWA WATANZANIA!!

Post a Comment

 
Top