Menu
 



Hii ni sehemu ya pili kati ya mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Katika sehemu hii, anazungumzia hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA na TANZANIA. Hofu yake juu ya ukuaji wa chama chake. Matatizo yanayoukumba uchumi wa nchi.
Je! Anahofia kuwa yale yaliyotokea kwenye nchi za Arabuni yanaweza kutokea Tanzania?
Kwanini anasema kuna tatizo la uwajibikaji nchini Tanzania? Anafafanuaje hoja hii?
Ni ipi silaha ya mwanasiasa wa Tanzania? Na kwanini anaamini kuwa imepotea?
Suala la KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU. Ilikuwaje, ikoje na nini kinafuata? Je! Baada ya kubadili baraza la mawaziri, HOJA IMEKUFA?
TATIZO LA AJALI... Kwanini maelfu ya wananchi wanakufa ajalini na hakuna kiongozi anayeonekana kujali ilhali akihusisha Waziri ama M'bunge mmoja nchi nzima inazizima?
Kwanini serikali haiarifu wananchi kama inavyostahili na mengine mengi
UNGANA NASI

NB: Intro ni ileile katika sehemu zote za mfululizo huu.

Post a Comment

 
Top