Menu
 

Hi ni moja ya mfululizo ya mahojiano tuliyofanya na Mhe Zitto Kabwe. Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma.

Mwana changamotoyetu wa DMV Mubelwa Bandio akifanya mahojiano na Mhe Zitto Kabwe. Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Picha na swahilivilla.blog)

Katika mahojiano anazungumzia kuhusu Uchaguzi 2015, mpango wa chama chake kuondoa kinga ya katiba ya rais, utata na msimamo juu ya kauli yake ya kutenganisha uchaguzi wa Rais na wabunge, suala la Muungano, haki na wajibu wa mwananchi, matukio ya Mwanza, mgawanyo wa vyeo katika mfumo wa utawala wa majimbo unaopendekezwa na Chadema na mengine.

Post a Comment

 
Top