Menu
 

MADA:- Kama kioo cha jamii kuunga mkono vitendo ambavyo vinakiuka maadili na kumkufuru Mungu, Hii inakuja mara baada ya Msanii JAY Z na WILL SMITH kuunga mkono hatua ya Rais Obama kuhalalisha ndoa ya Jinsia moja?.... Je, inaleta picha gani?
Watangazaji:- Sheby Shaban & Greyson Salufu Chatanda a.k.a Chris Bee
Muda:- Saa 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni.
Kipindi:- Kali za Bomba.
Kituo:- Bomba FM Redio 104.0Mhz
Mahali:- Mbeya Tanzania.
 Maoni ya Wadau. 
 Ojay Maramoja Jr. Hailet maan yeyote ila mimi na wewe tujiandae namna na jinsi ya kujibu kwa mwenyezi mungu kwakwel tuendako kubaya mpaka haipendezi Gwala kwa Judith Patric Emmanuel James Nyambo Deejaykatoto danger excllusive skillz na wadau wa osaka mitaa ya mwambene pamoja
Huo ni ujinga tena ulimbukeni pia ni kumkufuru mungu tena nakumchukiza mwenyezi mungu maana sasa itakuwa 2napingana na agizo la mungu, mungu ame2leta na ku2weka duniani 2zaliane na tuiongeze dunia sasa tazama tunakoelekea mwanaume na mwanaume kweli? Watazalisha nini hapo hata hao wanaosapoti nina wasiwasi nao huenda na wenyewe wanafanya ujinga km huo na ndipo 2nazidi kuona ni jinsi nyakati za mwisho zimekaribia na freemason kuzidi teka dunia. Huu ni kuaribika pia maadili i hate this stupid things.

Emmanuel James Nyambo Dah hiii inasikitisha kioo cha jamii kinakubaliana na mambo ka haya inauma sanaa miciko tayari jamani mungu nisadie na marafiki zangu gwara kwa ojay maramoja jr noah kapindo thomaswadox alexmwalyego michael minja callme emmanuel james nyambo@cityphone sokoine

  Mohamedy Kisuda Lesso Nadhani kuna haja ya kufuatilia kwa undani tabia za utotoni na ujana wa Obama! Si bure kwani hawezi shabikia wimbo asoujua kabisa! Uhondo wa ngoma uicheze,labda wenzetu hao walishacheza au chezewa ndomana wameunga mkono!!!!

Morogoro Fam nadhani ni haki ya kibinadamu kwa Taifa lililo na democrasia kama la marekani na wao kwenda nchi kama za kiarabu kwa kudai wanawake na mashoga hawana uhuru wa kujiamulia basi ni bora na wao kulitambua hilo.

DJ-ninae Tumia-kanda Aloyce-george Wa matundasi chunya,
C unajua Jay Z inasemekana yupo ktk dini iLe ya Freemason kwaiyo ni alali kwa wao kusema ivyo.

Chagga Bouy ebwana mkubwa munge fanya mpango iwe inasikika mpaka dar bhana.

Nicolaus Ngaiza Dah! kwanza tuelewe tamaduni na sheria za mataifa yao zinasema je kabla ya kuwaweka mezani japo wapo wanaopinga jambo hilo.

  Maru M Maru hakuna tatizo km ni suala ambalo kuna watu ambao wakifanya hivo wanaridhika..isitoshe kwa nchi za magharibi ni sawa coz maadili yao yanalingana na tukio...ikiwa malawi tu ndoa hiyo ipo...kuhus jay_z na will smith wako sahihi kwa sbb za kibiashara coz hao mashoga pia ni shabiki zao so they dont wanna loose them....

Joshua Turuka cku zote mambo ya mbele 2waachie wenyewe maana tamaduni zao zinaruhusu, ila kwa bongo hapana napinga hyo 2siafiki kabisa
 
Michael Minja Ebwana mimi naona hii ni dalili moja wapo kabisa ya kuona kuwa Dunia ishafika mwisho. Na tusisubiri mpaka tuone milima ikihamishika ndipo tuweze kuambini kuwa dunua ishaisha. Mimi naona hizi swaga za umangaribi tuwaachie wamangaribi wenyewe na sisi tuendelee na utamaduni wetu wa kitanzania pamoja na kumtumikia Mungu sana.

Msifuni Tweve Nkw iringa kiukweli najiskia vibaya sana kuona baadhi ya wasanii kuunga mkono mambo kama hayo lakini kama na wasanii wa bongo wakiiga tabia hiyo naamini hatutawaheshimu tena coz wanapotosha jamii.

Nicholous Benedictor nakusoma jembe yan 2po bod ya mkopo 2napgwa na mabom na ffu yan ksa bumu km vp npe ur no. kaka n mm from st john unvsty

hatuna budi kuwa dis watakao suport ujinga na ushetwani wa namna hii; kwanza hao watakuwa sio watanzania wenzetu wakidiliki kuunga kwa namna yoyote !!!!

KAKA MIMI GIFTI NIKO IGALAKO, MBARALI MBEYA BARRACK OBAMA AKAPIMWE AKILI KWA JAMBO LA KURUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA

MIMI NAONA KWAVILE YEYE AMEOA BASI AOLEWE NA YEYE OBAMA KWANZA WATANZANIA TUSIKUBALI.NAITWA MESKO KITIME UBALUKU MBALALI PAMOJA SANA.

Post a Comment

 
Top