Menu
 

Washindi wa Shindano la Miss Intercollege Southern Highland zone waliopata fursa ya kuiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Tanzania katika Shindano la Miss Intercollege Tanzania. Mshindi namba moja aliyekaa kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, Kushoto kwake ni Mshindi wa Pili kutocha Chuo cha TIA na kulia ni Mshindi wa Tatu kutoka Chuo Kikuu cha TEKU. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Warembo walioingia katika Tano bora katika Shindano la kumsaka  Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya  na kudhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
  Warembo 12 kutoka Vyuo vikuu kutoka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiwa jukwaani katika Shindano la kumsaka  Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya  na kudhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
 
 
 Burudani ya Muziki kutoka kwa DJ Imma Boy wa Kituo cha kurushia Matangazo na burudani cha Bomba FM Mbeya, ambao ni waandaji wa Shindano la Miss Mbeya Mkoa litakalofanyika June 1, Mwaka huu.
 Mbali na Dj kutembeza burudani, lakini hapa nyonga zilizungushwa baada ya Bendi ya Miondoko ya Taarabu nazungumzia T-Moto, kupanda jukwaani na kuwapa mashabiki wa shindano hilo, zawadi yao ya muziki wa Mwambao a.k.a Mambo ya pwani a.k.a mipasho na jipe raha mwenyewe a.k.a Lete kashida zinaleta mambo shosti.
 Bi Joah Kassim kipenzi cha wazungusha nyonga kutoka Bendi ya Miondoko ya Taarabu T-Moto akiwapa kashida mashabiki wake, na hapa baada ya kupanda jukwaani na kuwapa mashabiki hao zawadi yao ya muziki wa Mwambao a.k.a Mambo ya pwani a.k.a mipasho na jipe raha mwenyewe a.k.a Lete kashida zinaleta mambo shosti.
 Majaji wa Shindano la kumsaka  Miss Intercollege Southern Highland zone, kutoka Dar es salaam na Mbeya. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya  na kudhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
 Jukwaa lilivyopendezeshwa na wadhamini wa Shindano la kumsaka Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
 Wazee wa TBL wapili kutoka kushoto Papaa Raymond, ambapo TBL ni moja ya wadhamini wa shindano la Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Mashabiki walioonekana kupendeza na kufika mapema katika  Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
 Mashabiki wakifuatilia shindano kwa umakini katika Shindano la kumsaka Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
  Mashabiki wakifuatilia shindano kwa umakini katika Shindano la kumsaka Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Post a Comment

Anonymous said... 7 May 2012 at 07:49

hao wadhamini ndio headline au?kila baada ya picha. wadhamini jipangeni bwana!!

Chimbuko Letu said... 9 May 2012 at 05:05

Asante sana Mungu akubariki sana.

Chimbuko Letu said... 9 May 2012 at 05:11

Naamini Jambo la msingi kwa sapoti yako na mdau mwingine ya ushirikiano tutajipanga zaidi na zaidi

 
Top