Menu
 

Mkuu wa wilaya ya Rungwe Bw. Cripin Meela akila kiapo mbele ya mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro katika Ikulu ndogo jana Asubuhi.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro akitia saini kwenye fomu ya kiapo mara baada ya kumuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dkt.Nouman Sigalla Ikulu ndogo Jijini Mbeya jana asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Rungwe Bw.Chrispin Meela akitia saini katika fomu ya kiapo mara baada ya kula kiapo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro jana asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Chunya Bw. Deodatus Kinawiro akila kiapo cha Utii wa kazi mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro jana asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Kyela Bi.Margretha Malenga akila kiapo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro jana asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Mbeya Dkt. Sigallah(kulia) akimsalimia Mkuu wa Usalama wa Taifa mkoa wa Mbeya Bw.Said Salmin(kushoto) mara baada ya kuapishwa jana asubuhi, (katikati) ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi.
Mkuu wa wilaya ya Ileje Bi.Rosemay Senyamule akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro Ikulu ndogo jijini Mbeya jana asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Momba Bw. Abihudi Saidea akila kiapo mbele ya mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro jana asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Mbarali Bw. Gulamhusein Shaaban akila kiapo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro jana asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Mbozi Dkt. Michael Kadeghe akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro jana asubuhi.
Baadhi ya wakuu wa wilaya wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Mbeya  Bw. Abbas Kandoro  pamoja na Katibu tawala wa mkoa Bi. Mariam Mtunguja mara baada ya kuapishwa jana asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Rungwe Chrispin Meela akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa Ikulu ndogo Jijini Mbeya
Meela na Wanahabari Ikulu ndogo Jijini Mbeya
Waalikwa wakati wa kuapishwa wakuu wa wilaya Ikulu ndogo Jijini Mbeya
Jamaa na marafiki wa Mkuu wa wilaya ya Ileje wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Mbeya
Zawadi na taji hazikukosekana wakati wa kumpongeza Mkuu wa wilaya Ileje.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Mbarali mara baada ya kumuapisha
Picha ya pamoja na familia ya Mkuu wa wilaya ya Rungwe Bw. Chrispin Meela.
 Baadhi ya wakuu wa wilaya wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Mbeya  Bw. Abbas Kandoro  pamoja na Katibu tawala wa mkoa Bi. Mariam Mtunguja, pamoja na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali vya mkoani hapa mara baada ya kuapishwa jana asubuhi.
 (Picha na Rashid Mkwinda, Mbeya).

Post a Comment

 
Top