Menu
 


Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Peter Pinda akiwasha Mwenge wa Uhuru kitaifa jana katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine ulipo jijini Mbeya. 
*******
Habari na Greyson Salufu.
 Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania umewashwa jana kitaifa mkoani Mbeya katika uwanja wa Sokoine ambapo Waziri Mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda ndiye aliyekuwa mgeni Rasmi.

Sherehe za mwenge wa Uhuru zilipambwa na burudani kutoka katika vikundi mbalimbali ndani ya mkoa huu ambapo vijana wa halahiki walionesha umakini mkubwa kukumbuka kila walichofundishwa huku wakiimba nyimbo za kuhamasisha uwashwaji wa mwenge …sikiliza hapa chini…


Awali akimkaribisha Waziri mkuu katika shughuli hiyo ya kuwasha mwenge Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Abas Kandoro amesema …sikiliza hapa chini…


Kwa upande wake Waziri wa Ustawi wa jamii Maendeleo ya vijana wanawake na watoto Zanzibar Bi. Zainabu Omary ameitaka jamii kutumia zoezi hili katika kuhimarisha umoja na mshikamano kupitia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar …sikiliza hapa chini…


Akihutubia Umma wa watanzania waliohudhuria tukio hilo la kitaifa Waziri wa mkuu wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania mheshimiwa Mizengo Pinda ameiitaka jamii kushiriki kikamilifuka katika mchakato wa katiba mpya …sikiliza hapa chini…

Post a Comment

 
Top