Menu
 

Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Peter Pinda akiwasha Mwenge wa Uhuru kitaifa leo katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine ulipo jijini Mbeya.
 Waziri Mkuu akiwasiliana na mmoja wa wakimbiza mwenge wa uhuru muda mfupi kabla ya wa kuuwasha.
Muda mfupi baada ya mwenge wa uhuru kuwashwa Katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya na Waziri Mkuu.
 Makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru.

 Mwenge wa Uhuru ukikabidhiwa rasmi kwa ajili ya kuanza kukimbizwa wilayani na vitongoji vyake Mkoani Mbeya.
MAKABIDHIANO YANAENDELEA 
Wakikimbiza Mwenge kuelekea kwenye gari maalumu.
Ukipandishwa katika gari sasa katika gari.
Makamanda wakiwa tayari kwa ajili ya kukimbiza mwenge wa uhuru katika vitongoji vya mkoa wa Mbeya.
Mamia watu kila mmoja ataka kuuona mwenge wa uhuru.
Baadhi ya viongozi kutoka sekta mbalimbali wakiangana muda mfupi baada ya mwenge kuwashwa. Mbeya yetu Blog.

Post a Comment

 
Top