Menu
 

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi akiwa kashikanamikono na Rais wa Jumuiya ya Vyama vya wafanyakazi (TUCTA) Mh, Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudence Kabaka (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh Galawa katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga jana.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Umati wa wafanyakazi na wananchi waliojitokeza katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga jana.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga jana.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tatu kamazawadi kwa  Mfanyakazi bora wa Tanesco Bi Anetha Chengula  katika sherehe za Mei Mosikatika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga jana.Picha zote na IKULU. Kwa hisani ya http://fununuhabarii.blogspot.com

Post a Comment

 
Top