Menu
 

Timu ya soka ya taifa ya Tanzania - Taifa Stars jana imetoka sare tasa dhidi ya Msumbiji kwenye mchezo kirafiki kuelekea kwenye mechi ya kugombea nafasi ya kucheza KWENYE KOMBE LA DUNIA MWAKA 2014 dhidi ya Ivory Coast.
Mchezaji wa timu ya taifa Taifa Stars Mbwana Samata ambaye anacheza mpira wa kulipwa katika timu ya TP Mazembe nchini DRC Congo akijaribu kumtoka beki wa malawi Foster Namwela wakati timu hizo zikimenyana kwenye uwanja wa Taifa jioni ya jana.
 Wachezaji wa timu ya taifa Taifa Stars wakiingia uwanjani jioni ya jana kwa ajili ya kupasha mwili kabla ya mpambano wake wa kirafiki na timu ya taifa ya Malawi The Flames.
 Wachezaji wa timu ya Malawi wakipasha mwili kabla ya kuingia uwanjani kukwaana na Taifa Stars jioni ya jana kwenye uwanja wa Taifa.
Wachezaji wa akiba wa timu ya Taifa Stars wakijifua kabla ya mpambano huo jioni ya jana.

Post a Comment

 
Top