Menu
 

Habari!!
Mmiliki wa Blogu zifuatazo KAMANGA NA MATUKIO na KAMANGA na INJILI ambaye pia ni Mwandishi wa habari wa Kituo cha redio Bomba FM, anatoa onyo kwa baadi ya Vituo vya habari mkoani Mbeya ambavyo hujimilikisha habari zake na kudai kuwa kwa mujibu wa uchunguzi wa waandishi wao ndio wamefanikisha upatikanaji wa habari hizo na badala yake wamekuwa wakikaa maofisini mwao na kunakili. Hivyo basi anaombeni kubadilisha kauli hizo kabla ya mwanasheria wake hajachukua hatua.

Anamalizia kwa kusema Tushirikiane na Tutendeane haki juu ya hizo habari kwa kuhabarisha jamii.
 
Ezekiel Richard Kamanga.
Mbeya Tz.
 +255754 490 752
 +255787 490 752
Kwa mujibu wa Status yake Facebook & http://kamanganamatukio.blogspot.com

Post a Comment

 
Top