Menu
 

*Serikali yetu inatubania sana eti tusiuze bidhaa zetu nchi za njee, wakati nchi ya Kenya, Cameroon, Ghana na kwingineko wenzetu wanakuja na beer safari. Kwa hiyo na sisi tunataka bidhaa za zetu kutoka Tanzania tunataka kuinunua ndani ya Washington DC

*****Soma hapa chini na ujifunze kitu******

Ebou Shatry Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly ambae alikaribishwa kwenye hafla na rafiki yake Gabriel MbuGaps ambae ni mtaalamu wa viungo vya kiAfrika na uchomaji wa nyama choma
Pia Mh Iddy Sandaly alimpongeza sana rafiki yake Gabriel MbuGaps kwa kazi yake nzuri na kuonyesha juhudi za kukuza biashara hiyo, na kuwa mfano mzuri wa jinsi gani, mtu anaweza kukuza biashara kama hiyo na iwe mfano kwa jamii ya waTanzania wanaoishi hapa DMV.
· · · · 21 minutes ago ·

Post a Comment

 
Top