Menu
 

  
Kimbunga cha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chaikumba Washington DC.
 Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc  kwenye meza ya juu wa kwanza kushoto Libe Mwangombe, akifatiwa na Mhe. Peter Msigwa,  Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi,  Mhe. Zitto Kabwe, na Mhe. Nassari Joshua, Dogo Janja, mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
  
Mhe. Leticia Nyerere (Picha ya kwanza kushoto) akiwa na Mhe. Maryam Msabaha kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc.
Wantazania waishio DMV Nchini Marekani wakiwa katika uzinduzi wa tawi la chadema Washington  Dc.

Baadhi ya wakereketwa wachukua kadi baada ya uzinduzi wa tawi la Chadema Washington.
 Mhe. Nassari Joshua (Dogo Janja) Akishanga mamia ya wana DMV waliofurika katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc.
Mhe. Peter Msigwa akiandika masuali yaliokuwa yakiulizwa na baadhi ya wakireketwa.
  
Mwanachama wa chadema kutoka Boston Ma na kamanda Doto wakiuliza masuali tafauti  katika mpango mzima wa uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc uliofanyika jana Mei 27, kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University  Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
Mhe. Zitto Kabwe akitoa hutba kuelezea mpango mzima wa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania.
Wana DMV wakisikiliza hutuba ya Mhe. Zitto Kabwe. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com).

 Viongozi wa Chadema wakijipanga mpango wa kuwapa wana DMV, kadi za chama.
  
Wakereketwa wa Chadema wakiwa wameshikilia kadi zao za chama hicho.
Mzee wa mipangilio a.k.a Cosmas akipata picha na Mhe. Zitto Kabwe, pamoja na wakereketwa.
 
Mhe. Leticia Nyerere (Picha ya kwanza kushoto) akiwa na Idrisa Jumbe all the way from Dar na ni mdhamini wa pendo wa Mhe. Maryam Msabah ni Mbunge wa viti maalum Zanziba, pamoja na Mhe. Nassari Joshua (Dogo Janja) na mwana wa Mhe Leticia. Picha ya pili Kalley Pandukizi, Mwana Pamoja na Mh. Zitto Kabwe.


Kwa hisani ya www.swahilivilla.blogspot.com

Post a Comment

 
Top