Menu
 

Tumefanikiwa kuangaza Vijijini na kutembelea katika Shule ya Walemavu ka Katumba 2 iliyopo Wilaya ya Rungwe, Mkoani Mbeya, jamani wanahitaji msaada ili naowajione wananafasi na mchango mkubwa wenye umuhimu katika jamii,
Sio kuwatenga, sio kuwaacha kwani sote ni sawa, kumbuka kuwa nao wanandoto kuwa kama huyu na yule.
Saidia kwa moyo wako kwa watoto hawa.
Sote yatupasa kuwa nao, tushirikiane kwa pamoja tuhakikishe nao pia wanapata elimu ya kutosha.

Post a Comment

 
Top