Menu
 

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda akiwa amewasili katika Kiwanda cha kusindika nyama Jijini Mbeya.
 Waziri Mkuu mheshimiwa Pinda akioneshwa baadhi ya maeneo mara baada ya kuwasili muda mufi jijini Mbeya.
 Waziri Mkuu Mheshimiwa Pinda akiwa ameongozana na viongozi wa sekta mbalimbali wakiwemo wabonge, Mkuu wa mkoa na wengineo jijini Mbeya leo.
 Mheshimiwa Pinda akipewa maelezo ndani ya kiwanda cha kusingika nyama leo jijini Mbeya.
 Kiwanda cha kusindika nyama Jijini Mbeya.


 Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akiendelea kupata ufafanuzi juu ya kiwanda hicho. 
Picha na Mbeya yetu Blog.

Post a Comment

 
Top