Menu
 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe baada ya kutembelea Ofisi za Tume Kamati ya Mabadiliko ya Katiba   na kuzungumza na wajumbe wake, jijini Dar es salaam May 9, 2012.Kulia niMwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Sinde Warioba.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Tume  ya Kamati ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba  na wajumbe wa Tume hiyo baada ya kutembelea Ofisi za Tume jijini Dar es salaam May 9, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Rais  wa Kampuni ya Mafuta ya STATOIL na ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam May 9, 2012.
 Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Post a Comment

 
Top