Menu
 

Bad start: Republic of Ireland fell behind against Croatia to a Mario Mandzukic header
Mchezaji wa Croatia Mario Mandzukic alipofunga bao la kwanza kwa kichwa katika  dakika ya tatu kipindi cha kwanza, dhidi ya Ireland
Back in the game: Sean St. Ledger's header brought Republic of Ireland an equaliser
Mchezaji wa  Ireland Sean St. Ledger akishangilia bao la kusawazisha  katika dakika ya 19, kipindi  cha kwanza.  hadi mwisho wa mpambano huo Croatia waibamiza   Ireland mabao 3-1 katika mchezo wa kuwania ubingwa wa kumbe la ulaya 2012 ndani ya Poznan, Nchini Poland.
 ******
Katika mashindano ya kuwania ubingwa wa kombe la ulaya leo hii  Spain  yatoa sare ya 1-1 na timu ya Italy huko Gdansk Nchini Poland
Somebody stop him: Italy's Claudio Marchisio tackles Spain's Andres Iniesta
Mchezaji wa Italy's Claudio Marchisio akionekana kumvamia mchezaji wa tackles Spain's Andres Iniesta katika mchezo huo uliomalizika hivi punde ndani ya uwanja wa Gdansk Nchini Poland.
Super sub: Antonio Di Natale came off the bench to fire Italy ahead
Mabao yote yamepatikana katika kipindi cha pili, Italy ndio ilioanza kuona lango la Spain baada ya pasi ndefu uliosababisha mchezaji Antonio Di Natale na kusababisha Iyaly kuongoza kwa muda wa dakika moja punde walirudisha bao dakika 65.
Fab response: Spain equalised through Cesc Fabregas four minutes after going behind
Cesc Fabregas akasawazisha bao katika mchezo huo wa kuwania kumbe la Mataifa barani ulaya hadi hadi mwisho wa mpambano huo Italy 1-1 Spain.
 

Post a Comment

 
Top