Menu
 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production Ritha Paulsen akitolewa damu na Mkuu wa Kitengo cha Damu Salama kituo cha Dodoma Dk Leah Kitundya muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la kusaka vipaji vya wasanii chipukizi mkoa wa Dodoma, aliyeko pembeni yake ni Hawa Iche mkuu wa Mawasiliano wa Zantel

Majaji Maadam Ritah katikati Salama Jabir kulia na Paoul wakiwa kazini wakati wa kusaka vipaiji vya Bongo Star Search mjini Dodoma
Vijana wakionyesha vitu vyao mbele ya Camera wakati wa zoezi la kusaka vipaji vya washiriki wa Bongo Star Search Mjini Dodoma.

Post a Comment

 
Top