Menu
 

Ni ndoto ya kila mtu kufikia hatua fulani  katika maisha yake hasa pale unapoweza kutimiza au kuona  baadhi ya ndoto zako zikitimia. Kwa niaba ya ChingaOne Blog napenda kukupongeza kwa siku hii ya leo ambapo umeweza kuingia rasmi kama  DJ mpya katika katika label ya BOMBA DJZ.
NB:- Heshima kubwa na shukrani kwako, kwa nafasi na fursa uliyochukua kuweza kuifahamisha jamii inayotembelea chinga one.
Greyson Chris Bee Salufu!!
Mtangazaji & Dj.
bomba FM Redio Mbeya. 
+255764240440
+255656117664

Post a Comment

 
Top