Menu
 

Sasa hapa material na nondo zinapanda vipi hapa? ndio unakuta watoto 500 wanaomaliza darasa la saba wawili tu ndio wamefaulu kwenda sekondari alafu nyie mnachukulia poa tu na kujipongeza kwa kwenda sehemu mbali mbali kutalii, safari moja ya baba riz1 na wapambe wake incost kama mil 800 kama sikosei lol afu watoto wa walala hoi kama mimi wanakaa sana sakafuni unaambiwa, haya  vijana ndio taifa la kesho kwa style hii.....
(...i go bare my mind if dis Tanzanian ogaa keep choppin monii like dis ooh, i se am so mad ooh, dis oga betta go make am craze for his head oo, i beg he better finish his time and let sombody with brain do job oo, abi wetin he don understand development for his head naa?? a beg ooo .. i sei i beg oo....(in my naija friend accent lol) 
Swala zima la madawati nchini Tanzania bado ni kitendawili katika shule nyingi nchini(nakumbuka km na mimi niliwahi kukaa chini lol) duuuh yaani miaka hiooo ya 80s mpaka leo 2000 naa..bado zama za kale hazijabadilika kama sio kuchange jamani sasa hapa concentration inahusika kweli hapa? mtu umekalia sakafu unaandika umepinda mgongo wakati baba ake nanii kutwaaa kutaliii lol (sijamtaja mtu jina ila km unajihisi ndio wewe)  jamani jamani TAFAKARI, NA MFIKIRIE jee hii ni haki elimu kweli hiii......
ooh bila kusahau picha nimeiibuka kwa michuzi...ila maneno nimebwabwaja mwenyewe so km unahasira na mm beba bango andamana ukweli na habari ndio hiyo....VIONGOZI TANZANIA MNABOA NA MNAZINGUA BANGI SANA, KMA VIPI VIPI TU...SERIKALI INASHINDWAVIPI KUNUNUA MADAWATI JAMANI,??  SHANGINGI MOJA LA MBUNGE LINATENGENEZA MADAWATI YA MKOA MZIMA, MWEEH MNAPENDA RAHA NYIE......!!!!SIJUI NIBAKI TU HUKU HUKUUUU...???

(....
just thinking out aloud) God bless Tanzania and no place else...
Sasa kama hii ni hospital na hawa wagonjwa wanalala wawili wawili kwa bed na wengine chini, kweli kuna kupona hapo? jamani jamani nyie serikali muibe pesa mjaze vitambi mkumbuke basi hata ba walalahoi jamani kwani hamjatosheka tu? mgonjwa analalavipi chini tena? hivi wewe kigogo pata picha ndio mama yako au mkeo au dada yako ana maumivu makali afu ndio anaenda hospital analazwa chini, unausikiaje uchungu wake?  ( Anyway hamuwezi kufeel ze pain coz hamjawahi kuwa kwenye hii situation b4 na hamtakuja kua so hapa ni kama naongea peke yangu tu)
Kwa hisani ya Sweet Home Blog!!

Post a Comment

 
Top