Menu
 
MGOMO WA WALIMU,IMEKUWA FURSA KWA VIBAKA KUNUFAIKA - TUNDUMA - MBEYA.
MGOMO WA WALIMU,IMEKUWA FURSA KWA VIBAKA KUNUFAIKA - TUNDUMA - MBEYA.

Na: Ezekiel Kamanga,Tunduma Kufuatia Mgomo wa walimu ulioanza jana, wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi katika Mji mdogo wa Tunduma,Wila...

Read more »

HAWA NDIO MAPACHA WALIOTENGANISHWA.
HAWA NDIO MAPACHA WALIOTENGANISHWA.

Waziri wa Afya wa Malaysia Liow Tiong Lai akiwa hospitalini kuwaona watoto hao baada ya kufanikiwa kutenganishwa. Mara kadhaa watoto mapacha...

Read more »

GAZETI LA DIRA; KASHFA YA KUHONGWA WABUNGE LAWATAJA Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango
GAZETI LA DIRA; KASHFA YA KUHONGWA WABUNGE LAWATAJA Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango

Gazeti la Dira la leo limewataja wabunge wanasadikiwa kulamba mlungula ambapo kwa mujibu wa gazeti hilo wamo Zitto Kabwe ambaye anatajwa ku...

Read more »

DITTO APATA PIGO KWA KUONDOKEWA NA BABA YAKE MZAZI.
DITTO APATA PIGO KWA KUONDOKEWA NA BABA YAKE MZAZI.

Ditto msanii kutoka THT, usiku huu majira ya saa moja usiku ameondokewa na baba yake mzazi anayeitwa Lambert Tido. Ditto anasema baba yake...

Read more »

UMUHIMU WA KILIMO CHA MAZAO AINA MBALIMBALI.
UMUHIMU WA KILIMO CHA MAZAO AINA MBALIMBALI.

Na Ester Macha, Mbeya. Katika maisha ya mwananchi kila mmoja anapaswa kujishughulisha na kilimo cha mazao mbalimbali ili aweze kuendesha mai...

Read more »

SIKU AMBAYO SERIKALI YA KIJIJI CHA IYOVYO ILIYOTOONDOLEWA MADARAKANI.
SIKU AMBAYO SERIKALI YA KIJIJI CHA IYOVYO ILIYOTOONDOLEWA MADARAKANI.

 Jinsi alivyokuwa akiondoka mkutanoni Mwenyekiti wa Kijiji cha Iyovyo,Kata ya Totowe,Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Bwana Rashid Likuta mara ...

Read more »

UMUHIMU WA MAJI VIJIJINI NA MIJINI KWA WANANCHI
UMUHIMU WA MAJI VIJIJINI NA MIJINI KWA WANANCHI

Na Ester Macha. Tunapozungumzia maji  kwa binadamu  ni pamoja na huduma hiyo kupatikana vijijini na mijini ambako mahitaji hayo ni muhimu kw...

Read more »

UGALI WASABABISHA WANANCHI KUUMWA MATUMBO - MBOZI
UGALI WASABABISHA WANANCHI KUUMWA MATUMBO - MBOZI

Na Esther Macha,Mbozi Wakulima wa Kijiji cha Ichesa Kata ya Myovisi ,Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya wamelalamikia kuumwa matumbo baada ya k...

Read more »

HAKIMU ATOKA NJE YA MAHAKAMA NA KUZICHAPA KAVU KAVU NA MWANANCHI.
HAKIMU ATOKA NJE YA MAHAKAMA NA KUZICHAPA KAVU KAVU NA MWANANCHI.

Habari na Ezekiel Kamanga,Iyula Mbozi. Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo,Kata ya Iyula,Tarafa ya Iyula,Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya Mheshimiw...

Read more »

MWANANCHI ATAKAYEHARIBU VYANZO VYA MAJI NCHINI KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.
MWANANCHI ATAKAYEHARIBU VYANZO VYA MAJI NCHINI KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.

 Mh. Rais Kikwete akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji safi na upimaji wa maji katika Kijiji cha  Swaya,Wilaya ya Mbeya vij...

Read more »

SERIKALI YAOMBWA NA WAKULIMA NA WAFUGAJI  KUFANYIA UCHUNGUZI MADINI YA KULAMBA NA MIFUGO.
SERIKALI YAOMBWA NA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUFANYIA UCHUNGUZI MADINI YA KULAMBA NA MIFUGO.

* Habari na Ester Macha,Mbeya. Wakulima na Wafugaji wa Kijiji cha Itizi,wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kufanya uchunguzi kuhu...

Read more »

MARIAH CAREY'S AWKWARD 'IDOL' PROMO POSE
MARIAH CAREY'S AWKWARD 'IDOL' PROMO POSE

  Credit: Marc Cant/Fox Mariah Carey is striking an awkward pose for her " American Idol " promotional photo.  The pop icon, w...

Read more »

RC ASHUSHA RUNGU KWA MAFISADI CHUNYA
RC ASHUSHA RUNGU KWA MAFISADI CHUNYA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro   Habari na Joachim Nyambo,Chunya. MKUU wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro ametoa muda wa siku mbili ...

Read more »

HALI HALISI ILIVYO HOSPITAL YA MUHIMBILI HIVI SASA....
HALI HALISI ILIVYO HOSPITAL YA MUHIMBILI HIVI SASA....

  Hii ndio hali ilivyo katika wodi za Muhimbili, pamoja na serkali kudai huduma kurejea kama kawaida. Waandishi wa habari wanaweza kwenda ku...

Read more »

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr Jakaya Mrisho Kikwete azindua rasmi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira eneo la Swaya Jijini Mbeya leo
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr Jakaya Mrisho Kikwete azindua rasmi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira eneo la Swaya Jijini Mbeya leo

 Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Swaya mchana huu kwa ajili ya uzinduzi wa Mradi wa maji safi   Mamia ya watu waliohudhuria na ku...

Read more »

MIILI 76  MAREHEMU WA AJALI YA MELI YA MV STAR GATE KUZIKWA BAHARINI
MIILI 76 MAREHEMU WA AJALI YA MELI YA MV STAR GATE KUZIKWA BAHARINI

Salma Said na Raymond Kaminyoge, Zanzibar SERIKALI imesitisha rasmi zoezi la uokoaji wa miili ya watu waliozama katika ajali boti ya Mv Sk...

Read more »
 
Top