Menu
 

Dj G-Town akifanya vitu vyake kwenye show ya Ali Kiba aliyofanya Holland kwenye Club ya Blaak 776
Ali Kiba akifanya makamuzi kwenye Club ya Blaak 776 Nchini Holland mbele ya mashabiki wake.
Dushelele wimbo unaowatia kiwewe mashabiki  pichani wakina dada wakiweweseka kwenye stage wakati Ali Kiba alipokua akionyesha jinsi gani yakuucheza wimbo huo
Mashabiki wakipata ukodak moment
Mtu nyomi ndani ya club ya Blaak 776 iliyopo Nchin Holland wakati Ali Kiba alipofanya makamuzi ya nguvu.
Mashabiki wa Ali Kiba wakipata picha ya pamoja
Wadau wa Holland wakipata Ukodak Moment
Ni furaha ndani ya nyumba Ali Kiba akikata kiu ya mashabiki Holland
Mashabiki wakipata kanywaji
Mashabiki wakibadilishana mawili matatu wakati wa show ya Ali Kiba kwenye Club ya Blaak 776
Picha zote na Vijimambo Blog

Post a Comment

 
Top