Menu
 

Mwokoaji akiwa na maiti moja wapo ya ajali hiyo ya meli ya MV STAR GATE iliyozama karibu na Kisiwa cha Chumbe,ikiwa na abiria 250 watu wazima,watoto 31 na mabaharia 6.
 Waokoaji wakiwa katika boti ya Kilimanjaro III wakiokoa moja ya maiti jana.
  Majeruhi wakiwa katika mgongo wa meli hiyo wakisubiri kuokolewa.
 Baadhi ya Abiria wakiwa katika moja ya chombo cha kuokolea wakielea baharini wakisubiri kuokolewa.
 Boti ya KMKM ikiwa katika zoezi la uokoaji. 
 Helikopta ya Jeshi la Polisi ikiwa randaranda eneo la tukio.
 Boti iliozama ni kama hii ni ni pacha yake.
 Boti ya Fly ikiondoka katika bandari ya Zanzibar kuelekea eneo la tukio kwa lengo la  kutoa msada wa uokoaji.


 Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Hamad Masoud akiwa katika boti ya Kilimanjaro III katika eneo la tukio ilipozama meli ya MV STAR GATE karibu na Kisiwa cha Chumbe.
 Tagi la Shirika la Bandari likiwa katika sehemu ya tukio.


Picha kwa hisani ya http://chiwileinc.blogspot.com

Post a Comment

 
Top