Menu
 

Wananchi wa Kijiji cha Namba one(Ndaga),Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya wameandamana kwa kufunga barabara na kuchoma mataili ya magari kwa madai kuwa kwanini barabara za vijijini hazitengenezwi wakati mapato mengi(ushuru) ya wilaya ya hiyo yanatokana na wakuliwa wa viazi wa kijiji hicho,

Kufuatia sakata hilo shughuli za usafirishaji zimesimama hususani kwa wagonjwa na magari ya mizigo na abiria na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa.

Kwa habari zaidi endelea kufuatilia...........................

Post a Comment

 
Top