Menu
 

 Mkuu wa shule ya Sekondari ya Morogoro Bwana Thomas Chihwalo(kulia)akitoa maelezo wa tukio hilo kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mheshimiwa Joel Bendera (katikati) na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mheshimiwa Aziz Abood usikuu.
 Bweni hilo likitetekea na moto huo
 Gari la kikosi cha Zimamoto likiendele kuuzima moto huo.
 Baadhi ya wanafunzi waliopoteza fahamu baada ya kunusurika kwenye janga hilo
 Wanafunzi wakilia kwa uchungu kufuatia janga hilo.
Wakiendelea kuokoa vitu
Picha zote na Blog ya Morogoro yetu

Post a Comment

 
Top