Menu
 

Ditto msanii kutoka THT, usiku huu majira ya saa moja usiku ameondokewa na baba yake mzazi anayeitwa Lambert Tido. Ditto anasema baba yake alikuwa akisumbuliwa na Figo kwa muda mrefu hadi mauti yalipomkuta usiku huu katikaHospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo Jijini Dar es salaam.

Chimbuko Letu Ink inakupa pole sana Ditto na mungu akupe nguvu nyingi katika kipindi hiki kigumu ulichokuwa nao na Mungu ailaze roho ya marehemu baba yako mzazi mahali pema peponi Ameen.!!.

Post a Comment

 
Top