Menu
 

Hii ndiyo hali halisi ya bucha katika mnada wa Mbuyuni,wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wahusika.Je,Wizara husika mwaionaje hii hali na hatua gani mwazichukua ili kuhakikisha afya za walaji zinaimarika baada ya kudhoofika?
Hapa nyama tayari ipo buchani kilo sh 2000 mambo yanaendele mnada wa Mbuyuni, wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya.
Kazi ni kazi nae mnoa visu anaendelea na kazi yake katika mnada huo.
Mmh picha inajieleza yenyewe mambo ya mnadani hayo.
Hili ndilo eneo la kupata chakula cha aina mbalimbali katika mnada huo wa Mbuyuni Chunya. Kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.

Post a Comment

 
Top