Menu
 

Mamba hyu alikamatwa mwaka jana Sept. 4, 2011 huko Philipines na Mayor wa Bunawan  bwana Edwin Cox Elorde wa nchini humo alikuwepo katika tukio hilo zima la kuwezesha kumkamata monster huyo huko southern Philippines. Nimeiweka leo hii habari kwa sababu Guinness World Records jana wametangaza kua mamba huyu ndio mnyama mkubwa  kukamatwa akiwa hai mla watu aliovunja record ya dunia .  Mamba huyu alipewa jina la  "Lolong" aliepimwa na kusemekana na  6.17 meters (20.24 feet) na uzito wake ni zaidi ya tani moja.
 
Bofya hapa kuona zaidi http://tina-sweethome.blogspot.com 

Post a Comment

 
Top