Menu
 

 Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Swaya mchana huu kwa ajili ya uzinduzi wa Mradi wa maji safi 
 Mamia ya watu waliohudhuria na kushuhudia uzinduzi huo 
 Hili ndilo eneo ambapo Mh. Rais Dk.Jakaya Kikwete alifika na kuzindua Rasmi
 Mh. Rais Kikwete akisalimiana na Baadhi ya watu wanaohusika na Mradi eneo hilo 
 Mh. Rais Kikwete akizungumza jambo wakati wa uzinduzi huo 

 Wageni waalikwa wakiwa wanashuhudia Tukio hilo 
 Mh. Rais akisisitiza jambo.
Eneo la mradi wa maji safi linavyoonekana kwa ukaribu zaidi
Picha zote na Mbeya yetu Blog

Post a Comment

 
Top